Sababu za wanaume wengi kukimbiwa na wanawake

Imezoeleka katika jamii kwamba wanaume hukimbiwa na wanawake kwa kukosa kipato au alichonacho ni kidogo, au muonekano na maumbile ya mwanaume bila kuzingatia kwamba wanawake huangalia vitu vingine zaidi ili kugundua kama wanaweza kuishi na aina hiyo ya mwanaume. Zifuatazo ni sababu  zinazowafanya wanawake wakimbie mahusiano na wanaume wenye tabia hizi:- Kulazimishwa au kusukumwa kwenye …

Hizi Ndio Amri 10 Za Kumfanya Mwanamke Awe na Furaha.

1. MPIGIE SIMU HATA MARA 1 KWA SIKU KUMJULIA HALI. UKIBANWA SANA, JARIBU KUMTUMIA HATA UJUMBE MFUPI KUONYESHA UNAMJALI. 2. MSIKILIZE KWA MAKINI WAKATI AONGEAPO. 3. CHUNGUZA KWA MAKINI VITU ANAVYOPENDA NA ASIVYOPENDA. 4. MSIFIE/MPONGEZE VIZURI NA KWA DHATI MARA NYINGI IWEZEKANAVYO. 5. MNUNULIE KADI AMA MAUA, WAKATI MWINGINE.SIO LAZIMA VYA BEI MBAYA. 6. MPELEKE …

SIO KILA MPENZI ANAWEZA KUWA MUME AU MKE

MUNGU  ni mwema, ni siku nyingine tunakutana katika uwanja wetu wa mahaba. Hapa tunapata kujifunza, kujadiliana na kuweza kupeana ushauri wa maswala ya mahusiano. Ulimwengu wa sasa una changamoto nyingi. Ni vigumu sana kumpata mtu sahihi maana kila mtu ana maumivu yake. Watu wengi wamejeruhiwa, wanajuta kupenda kutokana na waliyoyapitia. Lakini nikutie moyo tu wewe unayesoma sasa, …

MWANAUME KAMA HUNA PESA NA UNATAKA USIFE MAPEMA USIFANYE HIVI

Kama wewe ni Mwanaume na unamalengo ya kuoa ila huna Pesa, hakikisha usioe mwanamke kisura.  Kila mwanaume anatamani kumiliki mwanamke kisura kiasi kuwa kila atakapokuwa anapita haoni shobo kumtambulisha mkewe.  Tatizo linakuje pale huna pesa lakini unataka uweke mrembo ndani. Ndugu yangu, usijidangaje hata siku moja kuwa wapo wanawake wasiopenda pesa na wanapenda maisha ya …

MWANAMKE ZINGATIA HAYA KABLA YA KUOMBA HELA KWA MWANAUME ILI USIJE ONEKANA KICHECHE

Ukweli ni kwamba raha ya mapenzi ni pamoja na kupunguziana makali ya maisha. Na katika kupunguziana uko makali ya maisha ndio matumizi pesa yanapochomoza. Kusaidiana ni kwa pande zote iwe kwa mwanamke kwenda kwa mwanaume au kinyume chake, Ingawa kwa kiasi kikubwa ni wanaume ndio wanawajibika zaidi kutunza wapenzi au wake zao. Nilichotaka kuwakumbusha wanawake zaidi …

TABIA 12 TATA AMBAZO MWANAUME ANAPENDA TOKA KWAKO

Kuna aina ya wanawake ambao kila mwanamume angependa kuwapeleka nyumbani kwao kukutana na wazazi wake. Hii ni aina ya wanawake ambao tabia zao zinapendeza na za kumfanya awe mwanamke wa ndoa ya milele. Pia kuna ile aina nyingine ya wanawake ambayo kila mwanamume angetamani kuwa nayo. Hii ni aina ya mwanamke ambayo kila mwanamume ndotoni …

MBINU ZA KUJIWEKE ILI MWANAUME AKUTONGOZE HARAKA

Je umekuwa ukijiuliza kwa nini haukuwi approached na wanawaume kama unavyotaka? Blog ya Nesi Mapenzi imeamua kukuandalia mbinu na maujanja ya kutumia ili uonekane mwanamke ambaye anaweza kufukuziwa na mwanaume kwa urahisi. Owk….Kando na itikadi ambazo umekuwa ukifikiria, kuapproachiwa ama kufukuziwa na mwanaume si gemu ya bahati nasimu ambayo mtu anaingojea ijitokezee.Na pia kando na …

Huu Ndio Utundu Komesho Kwa Mwanamke KitandaniAuto Draft

Karibuni katika somo jingine ndugu wapenzi wa Elimu Kuhusu Mapenzi na Mahusiano kumekuwa na maombi kama huwezi kumfikisha mwanamke kileleni basi unausika katika hili somo!!!!…Wengi wakitaka kujua ni namna gani ya kumfikisha mwanamke kileleni kwa kuzani hawana nguvu za kuhimiri kufanya tendo kwa muda mrefu bila kufikiri kuwa kumuandaa mwanamke kabla ya tendo kunaweza kukusaidia …

Jinsi ya kumsahau mpenzi wa zamani pasina gharama kubwa

Habari ndugu msomaji wa makala zangu katika kijiwe cha mapenzi  , karibu tena siku ya leo tuweze kujifunza zaidi kuhusu Ndoa na Mahusiano, leo tutazungumzia mahusiano. Mahusiano ni sehemu kubwa sana katika kufanikiwa au kutokufanikiwa kwenye maisha yako, kama hauko kwenye mahusiano mazuri unaweza kukuta ndoto zako zinakufa na unashindwa kuwa yule mtu ambae umepanga …

Njia rahisi za kuwavutia wanawake kihisia na kufanya wakupende, Je unazijua?

Mwanamke hutumia muda mdogo sana kuamua kama una uzito wowote wa kumfanya yeye atoke na wewe kutokana na vitu vidogo vidogo unavyofanya na vile ambavyo huvifanyi ndo vinamsaidia kufikia kwenye maamuzi yake. WaulizeWanaume imejaribu kukusanya njia rahisi za kumshika kihisia mwanamke ambazo sio ngumu wala za kupoteza mda na zitatoa tofauti kubwa kati ya kuangaliwa …

Design a site like this with WordPress.com
Get started