1. Wengi wa namna hii wanajiabudu. Yaani akili zao na ufahamu wao unaishia juu ya miili yao na maumbile yao kwa kiwang ambacho akijiona au kujiangalia kwenye kioo anaona yeye hawezi kukosa mtu wa kuwa nae. Haya ni majivuno yanaozaa SELF WORSHIP, ni kiburi. Kutokana na hili, wadada wa namna hii wamekuwa wakiiingia na kutoka …
Category Archives: mahusiano
MAMBO YA KUFANYA ILI KURUDIANA NA MPENZI MLIYEACHANA
Watu wengi wanaachana na wapenzi wao kwa sababu mbali mbali lakini unafanya Nini pale unapoachana naye halafu ukaja kugundua kuwa bado unampenda? Jibu ni rahisi ni kumrudisha tu kwa njia yoyote.Watu hawajui kumrudisha mpenzi mlioachana ni jambo rahisi sana kwa njia chache tu nitakazokufundisha leo basi unaweza ukamrudisha mpenzi aliyekuacha au uliyeachana naye.Siku ya leo …
Continue reading “MAMBO YA KUFANYA ILI KURUDIANA NA MPENZI MLIYEACHANA”
What Do Guys Like in a Girl’s Appearance?
What do guys and girls notice on a date? Now these preferences may reflect what guys notice in girls all the time. But what about on a date? What do guys notice most? And what do girls notice and overlook in a guy? These facts by our experts should help you there. So what do …
Continue reading “What Do Guys Like in a Girl’s Appearance?”
9 Things that reveal how your partner truly feels about you
1. “Eye contact” The eyes reveal a lot. If your partner finds you special, you will get lots of eye contact, you will be stared at because you’re getting all the attention, you will feel looked at, desired, attractive, searched out, there will be this fire, this affectionate look. But if your partner has become …
Continue reading “9 Things that reveal how your partner truly feels about you”
SMS AMBAZO MWANAMKE HAPASWI KUMTUMIA MWANAUME
Wanaume hupenda sana kuwasiliana na wanawake kupitia kwa SMS na njia nyingine za mitandao. Wanaweza kukusumbua siku nzima na SMS hizi.Halafu pindi ukianza kuongea na wao wanaweza kuja na mitindo mingine ya jumbe ambazo zinakuamuru ufanye jambo flani ama kutaka uwaonyeshe kitu flani. Ijapokuwa unaweza kuona kuwa ni mbinu nzuri ya kuwasiliana nao, wakati mwingine …
Continue reading “SMS AMBAZO MWANAMKE HAPASWI KUMTUMIA MWANAUME”
HATUA ZA KUFANYA KAMA MWANAMKE HATAKI KUJIBU MESEJI ZAKO
kuongea na yeye mara ya kwanza. Anapendeza na kuvutia, na unaona kama ni mwanamke ambaye ni yule aliyekuwa ndotoni mwako maishani mwako. Mazungumzo yenu yanaenda vizuri mpaka ukwamwomba namba yake.Baadaye unajaribu kumtumia text na hazijibu. Labda mnaeza kuchat kwa madakika halafu baada ya hapa anakataa kujibu texts zako. Unabaki ukijiuliza maswali ni kitu gani ambacho …
Continue reading “HATUA ZA KUFANYA KAMA MWANAMKE HATAKI KUJIBU MESEJI ZAKO”
KELELE ZA MAHABA KITANDANI
Kwa mwanaume hakuna kitu kinakuwa sexy kama mwanamke ambaye anakuwa loud kitandani na si kuwa na vikelele tu bali kujihusisha moja kwa moja kwa mwanamke katika kuongea maneno matamu au sweet words).Mwanaume akiwa kwenye game anapenda sana kujua mke wake anajisikia vizuri kwa kile anafanya na kwamba mwanamke anaonesha total participation, pia vile mke unatamka …
HATUA ZA KUAPPROACH WANAWAKE KATIKA KIKUNDI BILA KUKATAA
Kuapproach wanawake wakiwa katika kikundi ni jambo gumu sana kwa mtu yeyote kutimiza. Hata kwa wale ambao wanajiamini mbele ya wanawake inafikia wakati flani wanapatwa na changamoto moja au nyingine. Lakini kama kawaida mambo kama haya yanaeleweka kwa kuwa unaaproach wanawake wengi wakati mmoja na pia kunaweza kutokea maswala mengine ambayo yanaweza kujeuka changamoto kwako. …
Continue reading “HATUA ZA KUAPPROACH WANAWAKE KATIKA KIKUNDI BILA KUKATAA”
Maneno sita ya kumfurahisha mpenzi wako
Mnakubaliana nami kuwa kupenda mtu ni tofauti na kuishi kwa upendo. Kumpenda mtu ni rahisi lakini kwa kuishi huo upendo, yaweza kuwa ngumu kidogo. Ian Isherwood anasema kuwa kurudiarudia huu mshororo wenye maneno matatu tu, “I Love You” Mara kwa mara haitoshi kuweka mapenzi ya uhusiano wenu kunoga zaidi milele. Kuna Sentensi sita muhimu sana …
SMS ZA KUELEZEA UNAVYOMPENDA
*********Ask my eyes to stop looking at you… Ask my brain to stop thinking about you.. Ask my imagination to stop dreaming about you.. Ask my heart to stop beating. Ask me everything. But don’t u ever stop me from loving you.******** 🔥♥♥♥ Ugali, pilau, ndizi na nyama si vitamu unajua kwanini? Ukiula haupigi kelele, …