KWANINI WANAWAKE HUKIMBILIA BAFUNI/CHOONI KABLA YA KUNGONOKA?

Kumekuwa na kasumba kubwa sana kwa wanawake wa ki bongo kukimbilia kunawa chini kabla tu hamujaanza kugegenana.Wengi wao husema kuwa mara wametembea sana hivo jasho mara ooh siko konfotabo n.k ila ukweli ni kwamba jamani K ni chafu muda mbaya. Wanawake wanajua. Hata uwe sasa ivi na baada ya dk 5 inagenerate harufu. Harufu huja …

MAMBO YA KUZINGATIA KABLA YA KUINGIA KWENYE UCHUMBA-3

HUU ni uwanja wa boyfriend and girlfriend ambao hutoa mwanga kwa wasichana na wavulana walio kwenye uhusiano na ambao wanatarajia kuingia kwenye uhusiano ili waweze kupata mwongozo sahihi. Naamini mnanufaika na mafundisho yanayopatikana hapa. Somo ambalo tunamalizia leo ni kuhusu mambo ya msingi ya kuzingatia kabla ya kuamua kumpa mtu moyo wako na kuingia kwenye …

Unajua Kwanini, Umemtongoza na Anasema Anakuchukulia Kama Rafiki?

“Hataki muwe zaidi ya hapo, anakuchukulia kama rafiki!” Stori inakwenda hivi; baada ya kumwangalia kwa muda mrefu, huyumwanamke anambae anakuuwa pole pole kwa mvuto wake, ambae anakila kitu ambacho wewe macho yako kwako unaona ndo kile kinachoitwa na kutengeneza uzuri usiopimika, ubongo wako unaamini ya kuwa mnaendana kwa kila kitu ila kinachokuchanganya ni wewe kutokua …

Tatizo sio Size Ndogo ya Dudu lako Tatizo ni Kukosa Ubunifu

Kwa wanaojua Mchezo wa Soccer; Kitu cha Msingi si Size ya Kiatu, Bali ni Skills za Mchezaji Mwenyewe ndiyo Zinawezesha Mchezo uwe mtamu na Kisha Magoli ya Kutosha. Maswali ambayo huwasumbua sana Wanandoa wengi na yamefika mezani kwa madaktari wa mambo ya afya na mahusiano ni kuhusu wanawake kutofika kileleni  na wanaume kumaliza haraka tendo …

HIZI NI DALILI KWAMBA MWANAMKE WAKO ANATOKA NJE YA MAHUSIANO , KUWA MAKINI

Wataalamu wa maswala ya mahusiano wanaamini kwamba, mwanamke anapotoka nje ya ndoa yake, inakuwa rahisi sana kubainika au kufumaniwa kuliko ilivyo kwamwanaume. Hii inatokana na ukweli kwamba, hisia zinakuwa na nafasi kubwa sana kwa mwanamke, kwani mwanamke huishi kwa hisia zaidi kuliko mwanaume. Bado nasisitiza kwamba, haipaswi na siyo sahihi mtu kuchukulia dalili hizi kama …

Zifahamu Siri Nzito Zilizopo ndani ya Wanawake Katika Mahusiano.

Kuna wakati mwanamke ana weza kukosa amani kabisa katika mahusino , sio kwa sababu anakuwa amekosea kuingia katika mahusiano lakini ni kwa sababu ana mengi kichwani mwake ambapo hawezi kuyasema kwako mwanaume au kwa watu wake wa karibu.sio lazima aanze kulalamika ili uweze kumfanya mwenye furaha jambo la msingi ni kujua haya yafuatayo ambayo umfanya …

Jinsi Ya Kumfanya Mwanaume Amsahau Mpenzi Wake Wa Zamani Ili Aje Kwako

Naamini hii hali ishawahi kukutokea wakati mmoja au mwengine, kuna mwanaume flani ambaye umependezwa naye lakini bado fikra zake ameziweka kwa mpenzi wake wa zamani. Ama umeanza kuchumbiana na mwanaume halafu baadae ukagundua kuwa huyu mwanaume mara kwa mara anamtaja mpenzi wake wa zamani katika maongezi yenu. Leo kama Daktari Mapenzi tumeamua kukomesha hili janga …

Dalili za mwanamke anayetoka nje ya ndoa

Wataalamu wa maswala ya mahusiano wanaamini kwamba, mwanamke anapotoka nje ya ndoa yake, inakuwa rahisi sana kubainika au kufumaniwa kuliko ilivyo kwa mwanaume.Hii inatokana na ukweli kwamba, hisia zinakuwa na nafasi kubwa sana kwa mwanamke, kwani mwanamke huishi kwa hisia zaidi kuliko mwanaume. Bado nasisitiza kwamba, haipaswi na siyo sahihi mtu kuchukulia dalili hizi kama …

Hizi Hapa Mbinu za Kujitibu Tatizo la Nguvu za Kiume

Tatizo la nguvu za kiume limekuwa ni tatizo kubwa sana, tumekuwa tukishudia michepuko mingi ikiongezeka kila kukicha huku wengine wakithubutu hata kuvunja mahusiano yao hii ni kwa sababu ya tatizo hili, hivyo ili kuweza kuondokana na tatizo hili ipo haja ya kutambua namna ambavyo tunaweza kujitibu tatizo hiloZifutazo Njia 13 za kujitibu tatizo la kupungukiwa …

Faida zitokanazo na kufanya mapenzi pekee

Kufanya mapenzi ni jambo muhimu sana katika mahusiano. Huwakutanisha na kuwaweka pamoja wewe na mpenzi wako. Mapenzi hulifanya penzi lenu kuwa hai. Kufanya mapenzi ni kichocheo muhimu cha kuamsha hisia zenu za kimahaba. Hii ni mada kuu inayopendwa na huongelewa sana na wanaume pamoja na wanawake. Ni kitu ambacho kila mtu hukifikiria hata kama hawako …

Design a site like this with WordPress.com
Get started