WANAWAKE WENYE HIPSI NA SHIDA WANAZOKABILIANA NAZO HIZI HAPA

Wanawake wengi wenye hips , ni wanawake ambao si kwa mwanaume tu hata kwa wanawake wenzie husifia kuwa fulani kajaliwa, ki maumbile, ni kweli wana mvuto wa pekee, humwagiwa sifa nyingi za urembo, lakini pia kwa upande mwingine wa shillingi ni matatizo tupu.Sifa: 1. Huwatesa sana wakina baba wanapokuwa katika vyombo vya usafiri kama daladala, treni, …

Jinsi Ya Kumdhaifisha Mwanamke Ili Akupende

Ikija katika maswala ya udhaifu katika mwanamke, huwa kuna baadhi ya mambo ambayo huwa tofauti katika kila mwanamke. Hebu mwanzo tuanze kwa kusema kuwa kila mwanamke yuko tofauti. Si kila mwanamke anataka kitu kimoja kwa kila mwanaume. Lakini, kuna baadhi ya mambo ambayo huwa yanajitokeza juu zaidi katika udhaifu wa mwanamke. Kama mwanaume atafanya mambo …

Mambo 5 ambayo wanawake wanatamani mwanaume ajue wakati wa kufanya mapenzi

Hivi ni baadhi ya vitu ambavyo wanawake hutamani sana wanaume zao wawe wanajua katika mapenzi, ili wasipate shida ya kumwambia mara kwa mara, jambo ambalo si wanawake wengi huwa uwezo wa kumwambia mtu, hapo ndipo unakuta mara nyingi mwanamke anaanza kuchepuka na kwenda kwa mtu mwingine wa kawaida tu kupata mahitaji yake baada ya kuona …

Kuwa na wapenzi wengi ni tatizo la kisaikolojia

Katika ulimwengu wa sasa kuwa na uhusiano wa mapenzi na zaidi ya mtu mmoja ni kitu cha kawaida sana. Hapa nikilenga jinsia zote kuanzia wale walio ndani ya ndoa na ambao bado. ILIVYOZOELEKA Awali wanaume ambao kiasili huongozwa na tamaa ya muda mfupi ya kufanya mapenzi ndiyo pekee waliokuwa wakihusishwa na wapenzi wengi suala ambalo …

Sirikubwa mpezi wako hatakiwi kuzijua

1. Idadi ya wapenzi wake wa zamani Wanaume wengi hupenda kujua wao ni wangapi kuwa na mwanamke Fulani. Lakini mwanamke kamwe hawezi akakwambia wewe ni wa ngapi. Kumuuliza jambo hili kunamkera sana mwanamke na ndio maana mara nyingi hawezi akakwambia ukweli. 2. Anakulinganisha na mpenzi wa zamani Mwanamke mara nyingi anakulinganisha na mpenzi wake wa …

Zijue Hatua Za Kumfanya Mwanamke Akutamani

Ungehisi vipi kama kila unapoamka asubuhi mwanamke unayemjua anakuwa wa kwanza kukutumia jumbe za kimahaba na kukuambia, “Jana sikulala, nilikuwa nakufikiria wewe”?Ama je, kila ukikutana na huyu mwanamke anakwambia, “bebi usiende, nataka muda mwingi na wewe. Nakumiss sana”? Ni raha iliyoje hii? Sasa fikiria ungekuwa na uwezo wa kufanyia hivi mwanamke yeyote yule unayekumbana naye! …

Mambo 7 Ya Kumfanyia Mpenzi Wako Hii Valentine’s Day

Siku ya Valentine ndio hio imetufikia. Wengi wamekuwa wakiongea kuhusiana na hii siku. Siku hii kwa wale ambao wanaisherehekea wanadai ni siku ya wapendanao. Wengi huichukulia siku hii ni spesho kwa wawili wapendanao kujumuika pamoja. Well, kwa wale ambao wanaisherehekea siku hii, ni mambo gani ambayo unayafanya? Wengi watakuambia wanangojea jioni wakakutane na wapenzi wao …

MAMBO YA KUZINGATIA KABLA HAUJAWA MJAMZITO

UJAUZITO ni safari ndefu inayomchukua mwanamke miezi tisa au majuma arobaini hadi kujifungua. Ni safari yenye mikikimikiki na hatari nyingi kwa mama na mtoto. Tusichukulie suala la ujauzito kama jambo la kawaida ingawa pia ni wajibu kwa mwanamke.Ujauzito siyo hali ya hatari au kutisha endapo mambo ya msingi yatazingatiwa kabla ya kuwa mjamzito na kipindi …

Ulishajiuliza Unapenda Nini Kwa Mpenzi Wako?

Mnatafuta nini ndani ya wenza wenu ni kitu gani mnaangalia/mnakiona ndani ya mtu unayeamua kuwa naye kama mchumba/mume/mke. Je, ni macho yake au tabasamu, ama ni muonekano wake, uchangamfu au upole, ni kitu gani unachokiona ndani ya mtu kinachokuvutia. Wengine wanavutiwa jinsi mtu anavyofikiria, au mwili wake, wewe je? Unaweza ukawa umevutiwa na kitu kimojawapo, …

RAHA YA MCHEZO NI MAANDALIZI YA KISAIKOLOJIA SIYO UCHAWI

JUMAA ya leo ningependa tujadiliane jambo la tofauti kidogo! Kabla ya yote, tukubaliane kwamba usiri na kukosa uwazi kwenye mambo yahusuyo faragha, ni tatizo ambalo limesababisha uhusiano na ndoa nyingi kuvunjika.   Unakuta mtu ana tatizo kubwa kati yake na mwenzi wake, kwa sababu alishaaminishwa kwamba mambo haya ni siri na hayatakiwi kuzungumzwa popote, anabaki akiugulia ndani …

Design a site like this with WordPress.com
Get started